RAY C ATAKA MPENZI WA KIHINDI.

STAA wa bongo fleva,rehema chalamila 'Ray c' amefunguka kuwa anatamani penzi la'boifrend' mwenye asili ya kihindi kwa sababu wana mapenzi ya kweli baada yakuangalia filamu zao.

"Daaaaamn!Nataka mwanaume wa kihindi sasa hivi! wapo kimahaba sana!hii movie ni kali sana! nipo kwenye chumba changu cha bollywood",aliandika ray c.
No comments:
Post a Comment