Sunday, 27 October 2013

AJALI MBAYA YATOKEA MBEZI JIJINI DAR, BAADA YA DALADALA KUGONGA MAGARI 2 NA BAJAJI 2


Ajali mbaya imetokea eneo la bondeni, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam baada ya daladala ya Mwenge Kariakoo kukosa break na kugonga magari mawili na bajaji mbili. Katika ajali hiyo mama mmoja amegongwa vibaya na amekimbizwa hospitali ya Lugalo kwa matibabu.

Hali haikuwa nzuri maana kila mmoja alikuwa katika hali ya taharuki.


Bajaji zikiwa zimegongwa vibaya.

No comments:

Post a Comment