Kweli binadamu tumeumbwa na roho ya Huruma,hiyo imeonyeshwa na msanii mwenye makeke na vituko Nchini ,Elizabeth michael "lulu",pale alipoamua kuwapa salamu na kuwapatia moyo wasanii Nguza Viking na Mwanae,waliofungwa kwa tuhumuza kinajisi watoto...

lulu ali-tweet."Ninaamini mungu yupo na ye ndiye mwenye kuhukumu kwa Haki,dua zangu zipo pamoja namzee nguza na papii kocha,hakuna ambalo mungu asiloliweza na mola hata siku moja hakupi jaridu usiloliweza,mwenyezi mungu awasimamie katika rufaa yenu.
,AMEN.akiiashiria kwa wasanii hao wawili ambao wanasubiria kusikiliza rufaa ya kesi yao ambayo itatolewa ivi karibuni.
since lulu release from jail,the young movie star has changed a lot,kitabia tofauti na alivyokuwa akionekana hapo awali.
No comments:
Post a Comment