Sunday, 27 October 2013

AJALI MBAYA YATOKEA MBEZI JIJINI DAR, BAADA YA DALADALA KUGONGA MAGARI 2 NA BAJAJI 2


Ajali mbaya imetokea eneo la bondeni, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam baada ya daladala ya Mwenge Kariakoo kukosa break na kugonga magari mawili na bajaji mbili. Katika ajali hiyo mama mmoja amegongwa vibaya na amekimbizwa hospitali ya Lugalo kwa matibabu.

Hali haikuwa nzuri maana kila mmoja alikuwa katika hali ya taharuki.


Bajaji zikiwa zimegongwa vibaya.

UPDATES: INASIKITISHA SERENGETI FIESTA YAISHA KWA AIBU KUBWA, WASANII KIBAO HAWAJAPANDA KWA STAGE AKIWEMO MOHOMBI,DIAMOND,CHEGE N.K...!


Usiku wa kuamkia leo pale leaders Club jijini Dar es Salaam Palikuwa hapatoshi kulikuwa na nyomi ya kufa mtu wakipata Raha za Fiesta ila Gafla Majira ya saa 10 usiku Umeme Ukazima gafla Wakati Ommy Dimpoz akiwa jukuani na J.Martins kutoka Nigeria na kusababisha show hiyo iishie hapo.
Wengi Wamelalamika kwa Sababu Wasanii Wengi akiwemo Diamond,Chege,Temba,Madee,Afande Sele na Wengine Kibao hawajafanya show Wakati walikuepo kwa Ratiba.Kama Vile

haitoshi hata Msanii kutoka Sweden Mahombi hajafanikiwa kufanya show.Watu wamesubiri mpaka saa 11 alfajiri hatimaye wakakata tamaa na kuanza kuondoka huku lawama nyingi zikienda kwa Waandaaji kwa kutojipanga Vizuri.
Watu kiukweli walijaa sana na wamepata adhabu ya kusimama zaidi ya Masaa 10 kwa sababu kulikuwa hakuna Viti wala mahali pa kukaa hivyo ukiingia ndani ni kusimama mpaka show inaisha.
Kitu kingine kibaya ni kujaa kwa Wauni wengi nje ya ukumbi nawatu wameporwa vitu vyao hadharani tena kwa nguvu.
Maoni yangu kwa Waandaaji ni kujipanga ili kuepushana na Aibu waloipata Mwaka huu!!

TAZAMA PICHA JINSI DIAMOND ALIVYOVAMIWA NA WANAFUNZI AKIWA MLIMANI CITY..

Akiwa ktk harakati za hapa na pale kutafuta vitu vyake binafsi kundi kubwa la wanafunzi lilikuja na kumvamia huku wakiomba sign ya msanii diamond na wengine wakitaka kupiganae picha. Fungua na utazame picha jinsi tukio zima lilivyo kuwa...







Saturday, 26 October 2013

ARSENAL YAENDELEA KUTAKATA LIGI KUU ENGLAND

article-2477340-18FEB71100000578-695_634x393_a38e9.jpg
ARSENAL imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu England leo na kuendelea kujinafasi kileleni mwa ligi hiyo.
Mikel Arteta alifunga bao moja kwa penalti dakika ya 47 kabla ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwa na Olivier Giroud akafunga la pili dakika ya 87.
Kikosi cha Arsenal kilikuwa: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta, Flamini/Gnabry dk7/Wilshere dk69, Ramsey, Ozil, Cazorla/Monreal dk72 na Giroud
Crystal Palace: Speroni, Ward, Delaney, Gabbidon, Moxey, Jedinak, Dikgacoi, Bannan/Gayle dk77, Thomas/Bolasie dk58, Guedioura/Kebe dk72 na Chamakh.
Matokeo mengine ya ligi kuu ya uingereza
Crystal Palace 0 - 2 Arsenal
Aston Villa 0 - 2 Everton
Liverpool 4 - 1 West Bromwich Albion
Manchester United 3 - 2 Stoke City
Norwich City 0 - 0 Cardiff City      (P.T)

 

LEO NI BIRTHDAY YA VJ PENNY AMBAE NI MCHUMBA WA DIAMOND EBU CHEKI ALICHOKISEMA DIAMOND.





 Naye Penny alijibu hiki

“Baby u just made me cry!! Oh God Naseeb I luv u so much hubby…wallahi sina hata cha kujibu to make u understand How I appreciate ur sweet luv,God has given me so many things but bringing u in my life is the best gift I have received…U just made my day,years,a lifetym…I wont forget this…thank u hubby.”
ENZI ZILE MAPENZI BILA WEMA....NOW SHE'S BACK FOR THE LOVE OF HER LIFE THINGS ARE GONNA CHANGE...

Thursday, 24 October 2013

Stylish duo-Beyonce & Blue Ivy in coordinating outfits

22-month-old Blue Ivy is already following in her mum's diva footsteps.Wearing coordinating outfits and a matching frown for the papparazzi..
Cute duo
Once again I'm sorry friends, will publish a diary soon...In a few days all would be on track. Thanks for the patience and care

Wednesday, 23 October 2013


 

Inside Kim Kardashian and Kanye West's Wedding Plans: "It's Going to Be Huge!"

Kanye West, Kim Kardashian

 

If the lavish engagement is any indicator, Kim Kardashian and Kanye West's upcoming nuptials are going to be out of this world.
A source close to the couple tells E! News that their upcoming wedding is "going to be huge."
Prior to her engagement, the 33-year-old had mentioned that if she were to tie the knot again, she'd prefer it be an intimate affair with close friends and family.
But that may not be the case anymore.
The source explained that when the time comes for North West's mama to exchange vows with the rapper, "It's going to be the size of the capital."

Kim Kardashian, Instagram, Ring Instagram
"There won't be anything small about it," the insider added.
But back to the proposal heard around the world…
Between taking over San Francisco's AT&T Park, hiring a 50-piece orchestra and planning a firework-filled surprise, the evening was a night to remember.
And it looks like Kim, along with the rest of us, was absolutely stunned when Yeezy popped the big question.
"When the lights went on, she was frozen," the source said. "She was in complete shock."

Following the romantic moment, family and friends had "so much fun" when they gathered on the field and danced the rest of the night away.
Kim exclusively spoke with E! News just a day after the monumental occasion.
"Last night was truly magical!!! I am the luckiest girl in the world!" she gushed. "I get to marry my best friend!"
She also shared a pic of the jaw-dropping 15-carat flawless Lorraine Schwartz diamond ring on her Instagram with the caption, "YES!!!"
We can't wait for the wedding celebration!